Classic Christian MAGAZINE | @ichurch_magazine

πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa kakutana na simba kichakani, ikabidi afunge macho aanze kuomba. Alipofumbua macho akakuta na yule simba kapiga magoti anaomba pia. Jamaa akashangaa sana.πŸ˜‚Akamuuliza yule simba "wewe ni mkristo?". Simba akamjibu "Mjinga wewe, Hivi huwa hamuombi kabla ya kula?"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ @wiseman_shadrack
ulipona ...
@shasha_solo anatualika kusikiliza wimbo wake mzuri uitwao WE NI KILA KITU KWANGU. Bonyeza Link kwenye Bio yake pia icheki YouTube.

#ichurchburudani #gospelsongs #gospelmusic #music #shashasolo
Cc @cheka.tu @coy_mzungu
Cc @nahum_gidion
Tengeneza/unda vitu katika ulimwengu was roho na uone Kama vimeshakuwepo hata Kama bado havijaja. Hivyo ndivyo tunavyopaswa kuwa. Kuna utofauti wa hizi sentensi mbili:
1. "nikijaaliwa mtoto, nitamlea namna Fulani"
2. "mtoto wangu nitamlea kwa namna Fulani"
Ya kwanza inaonesha ...
Baada ya Mchungaji Fred Njama kukamatwa na Polisi kwa kutaja changamoto 6 zinazolikabili taifa akidaiwa kufanya uchochezi, Baba Askofu Dr.Stephen Munga (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, amemuandikia Mchungaji Njama waraka wa faraja.
________________________

Kwako Mchungaji Fred Njama,
...
#hauwezikushindana VIDEO ya kwake @goodluckgozbert IMETOKA. LINK IPO KWENYE BIO YAKE au icheki YOUTUBE.
#ichurchcelebrities #ichurchburudani #gospelsongs #gospelmusic #music #goodluckgozbert
Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo
-
Katika ratiba hiyo Manchester United wamepangwa kukutana na Tottenham Hotspur. Chelsea wao wamepangiwa kucheza na Southampton
-
Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa April 21 ...
πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi mlishawahi kusikia hi I habari ya huyu mwanasheria aliyefungua kesi dhidi ya nchi za Israel na Italy kwa kosa LA kumtesa Yesu?
Ni mkenya. Anaitwa Dola Indidis na kesi hiyo ameifungulia mahakama ya kimataifa ya THE HAGUE, Uholanzi.
Anasema ...
#repost @atoshakissava ・・・
Goodmorning World....!!Tunavyo ianza wiki hii tukumbuke kuwa "Mungu hutumia WATU kuinua WATU"...Ishi nawatu vizuri,Mheshimu na Mthamini mtu yoyote anaekuja mbele yako, Haujui Mungu atamtumia nani kukupeleka pale unapotakiwa kufika....
NAWATAKIA WIKI YA USHINDI ZAIDI KULIKO JANA!
#nenda_nami ...
😜Good Morning friends and brethren. Let this message from pastor @joelosteen lead you throughout this week. πŸ’ͺπŸ™ŒπŸ‘Š Be blessed...
#ichurchmaarifa #wordofgod #god #gospel #godsword #bible #joelosteen #osteen #motivation #inspiration #podcast #christians #america #africa #asia #europe
πŸ’₯πŸ‘Happy Birthday kwako Jembe LA Yesu Mchungaji Peter Mitimingi @petermitimingi @petermitimingi .

Umekuwa baraka mno kwa vijana na mwili wa Kristo kwa ujumla. Asante kwa kazi yako njema katika ufalme wa Mungu.

Ni maombi yetu kuwa Mungu akaendelee kukutumia kwa ...
Mtandao wa #churchtoday unaripoti kwamba katika mji wa Butare nchini Rwanda watu wapatao 25 wa familia 3 tofauti wamekamatwa kwa madai ya kufanya ibada zilizopigwa marufuku nchini humo.
Polisi wameeleza kuwa watu hao ni miongoni mwa waumini wa makanisa yaliyofutiwa ...
🎡🎢Saturday feelingπŸ‘ŒπŸ˜πŸ˜‰
Wimbo: INTENTIONAL
Muimbaji: Travis Greene @travisgreenetv "all things are working for my good". 🎼🎢🎀 #ichurchcelebrities #ichurchburudani #travisgreeneintentional #travisgreene #gospelsongs #gospelmusic #music #intentional #god #gospel
#repost @injilileoblog ・・・
#gyd18
Siku ya jana Ijumaa Idara ya vijana kanisa la Ushindi wametoa msaa Wa chakula pamoja na pump ya maji katika kituo maalum cha kusaidia watoto wenye utindio Wa ubungo katika shule ya Sinza maalum. Wakiongoza na ...
#repost @bongokatuni_magazine ・・・
Naweza pata AMEN? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
#repost @shadrackrobert ・・・
Hello Friends
#asheengaicolletions
Available @AngelicBoutique
@fm_outfit_fashion
Pia unaweza nipa order 0767897260

https://youtu.be/VBAdb64teIk
#wimbo

@asheengai_music @asheengai_collection @shadrackrobert_fanpage

#ichurchcelebrities #ichurchburudani #ichurchfashion #tshirt #clothes #branding #gospelmusic #music
Sasa Nyimbo ipo Tayari ndani ya @wasafidotcom kwa wale wiopo njee ya nchi na wengine ndani ya nchi Download sasa kupitia wasafi.com -Download NI WEWE at wasafi.com NOw ,
Be blessed abundantly.
@official_jsisters LOVE YOU.

#ichurchcelebrities #ichurchburudani #jsisters #tanzania #gospelsongs ...
MOSHI, KILIMANJARO: Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuwa ni β€œUchochezi wa kisiasa”.
-
Mchungaji huyo wiki mbili zilizopita alisoma ripoti katika mkutano mkuu wa mwaka wa usharika wake ambayo ...
Pumzika katika amani mtumishi wa Mungu Askofu Philbert Mbepera (EAGT MSASANI). iCHURCH MEDIA tunatoa pole kwa familia yake, washirika wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu awape Faraja katika wakati huu mgumu.
#tanzia #death #rip #ripbishop #philbertmbepera #eagt #msasani #condolesence #manofgod
Mtume Peter Nyaga amewasili nchini Congo kwa ajili ya ziara yake ya kusambaza injili katika nchi za Rwanda na Congo.
Cc @drnyaga2017
KILA LA KHERI mtumishi.

#injili #gospelofjesus christ #rwanda #congo #peternyaga #apostle #wordofgod
#ichurchburudani Rapa snoop Dogg ameachia albamu yake ya kwanza TANGU AOKOKE iliyopewa jina LA THE BIBLE OF LOVE (Biblia ya Upendo). Katika albamu hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, amewashirikisha waimbaji wengi wa nyimbo za injili Kama Marvin sapp, Marry Marry, ...
#repost @ishindotoyako ・・・
Ngoja nikuambie kitu. Uliwahi kusikia watu wanaoitwa; the most Influencer, most reputable, legend nk. Hawa jamaa ni wa kawaida sana na wana miguu, mikono na kila kitu kama mimi na wewe. Lakini tayari kwa nafasi zao waliamua ...
Nabii Uebert Angel ndani ya Nigeria...πŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘Š Cc @uebertangel
#gospel #uebertangel #goodnewschurch #godsgeneral
Hapo vipi? πŸ˜‚πŸ‘πŸ™Œ
Huu ndio mpangilio wa mechi za Uefa Champions league na Uefa Europa league (swipe left) uliopatikana katika DRAW Iliyofanyika muda si mrefu. apo vipi?
Nani Ana nafasi kubwa ya kushinda na kwenda hatua ya nusu fainali.
#ichurchsports ...
Ndani ya toleo hili ipo stori ya maisha ya Mchungaji LUCY NATASHA, Mchungaji mwenye kusifika kwa muonekano mzuri na mahubiri yaliyojaa hamasa na ukweli ndani yake. Kupitia @ichurch_magazine ,pata nafasi ya kumfahamu vyema WAPI AMETOKA, WAPI YUPO, NA WAPI ANAELEKEA, ...
#kuachana by Mch Dk. Getrude Lwakatare. πŸ”₯πŸ‘Œ Umeshawahi kuacha au kuachwa na mpenzi au mke/mume wako?
#ichurchmaarifa #getrudelwakatare #mlimawamoto #gospel #wordofgod #breakup #divorce #marriage #relationships #loveaffairs
πŸ‘—πŸ‘–πŸ‘•Mavazi gani yanakupendezesha zaidi?πŸ‘’πŸ‘“βŒš Huwa unajiona umependeza ukivaa nini zaidi? πŸ‘‘πŸ‘ πŸ‘”πŸ‘œTuambie
#ichurchfashion #ichurchcelebrities #fashion #dresses #africandress #couple #shoes #tshirt #jeans #trousers #shirtsandties #mavazi

Load More