Ichurchmaarifa

Instagram, YouTube, Twitter, Facebook photos and videos.

Tengeneza/unda vitu katika ulimwengu was roho na uone Kama vimeshakuwepo hata Kama bado havijaja. Hivyo ndivyo tunavyopaswa kuwa. Kuna utofauti wa hizi sentensi mbili:
1. "nikijaaliwa mtoto, nitamlea namna Fulani"
2. "mtoto wangu nitamlea kwa namna Fulani"
Ya kwanza inaonesha ...
πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi mlishawahi kusikia hi I habari ya huyu mwanasheria aliyefungua kesi dhidi ya nchi za Israel na Italy kwa kosa LA kumtesa Yesu?
Ni mkenya. Anaitwa Dola Indidis na kesi hiyo ameifungulia mahakama ya kimataifa ya THE HAGUE, Uholanzi.
Anasema ...
😜Good Morning friends and brethren. Let this message from pastor @joelosteen lead you throughout this week. πŸ’ͺπŸ™ŒπŸ‘Š Be blessed...
#ichurchmaarifa #wordofgod #god #gospel #godsword #bible #joelosteen #osteen #motivation #inspiration #podcast #christians #america #africa #asia #europe
#kuachana by Mch Dk. Getrude Lwakatare. πŸ”₯πŸ‘Œ Umeshawahi kuacha au kuachwa na mpenzi au mke/mume wako?
#ichurchmaarifa #getrudelwakatare #mlimawamoto #gospel #wordofgod #breakup #divorce #marriage #relationships #loveaffairs
PAKUA APP YA DONDOSHA(Play store au app store), then jisajili, then nunua ichurch magazine kwa NUSU BEI (TSH 2500) kupitia simu yako. Matoleo yetu yote yapo huko. Enjoy. KARIBUNI SANA.
#ichurchcelebrities #ichurchmagazine #dondosha #ichurch #ichurchhabari #ichurchmaarifa #magazine #buyonline #graphicdesigning #christianmovies ...
Kitu gani umekifurahia zaidi kwenye TOLEO HILI JIPYA? Tuambie
Kama bado hujalipitia, BONYEZA LINK KWENYE BIO.

#ichurchcelebrities #ichurchhabari #ichurchmagazine #ichurchmaarifa #ichurchfashion #chtistianmovies #gospelmusic #paulclement #angelbernard #churches #news
UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!

Uzinduzi wa kitabu cha "CHOZI LA MWENYE HAKI" uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa utafanyika tarehe 23/3/2018.
Mahali: LAPF Kijitonyama (Ruby Hall)
Muda: 1:00 - 4:00 usiku
Kiingilio :10,000/=
Hii itabeba gharama za vinywaji na burudani mbalimbali.
-live ...
Kwenu wote ambao hamtaki, hamko tayari, mna wasiwasi, mnachelewa kufunga ndoa kwa madai kuwa hamjajiandaa na ndoa... Hakuna mtu ambae yuko tayari kwa asilimia zote (perfectly ready) kufunga ndoa. Kila siku Wote tunakua na tuna vitu vingi vya kuweka sawia... ...
"Trapped"???😱 "Mee"?😏? "we don't get trapped"πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜€πŸ˜œπŸ‘Œ #christians #pastorchris #ichurchmaarifa #wordofgod #bible #trap #christianity #success #truth
TUJADILI:

Mdau kutoka JamiiForums analalamika ndugu zake wanamzuia kuoa kwa sababu tu hana ajira
-
Anadai yeye ana shughuli zake ndogondogo za kumuingizia kipato na anaamini zitamuwezesha kuendesha familia
-
Je, unadhani ajira ni kigezo cha mtu kumudu kuendesha familia?

...
#repost @ichurch_magazine with @repostapp
・・・
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -

Inapatikana PLAY STORE kwa kuandika neno "DONDOSHA"

Enjoy na Shukrani Sana kwa kutuunga mkono

#ichurch#ichurchmagazine #ichurchmaarifa #millardayo#mwamposa
@masanja__tv @mwakasegeblog
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...

Usinunue pochi ya 600,000 halafu iende kuwa haina kitu ndani, nunua pochi ya 20,000 ili iwe na 580,000 ndani yake. Usije ukajifilisi kwa KUTAKA TU KUONEKANA WEWE NI TAJIRI.
#ichurchmaarifa
#wordsofwisdom #advice #ladies #women #fashion #celebrities #money #broke #richness #wealth
#ichurchmaarifa inakuletea ushauri kutoka kwa JACK MA, mmoja wa mabilionea kutoka China na mwanzilishi na mkurugenzi wa ALIBABA group of companies. Jifunze na watag vijana na wapenda maendeleo wengine wanufaike na hili analolosema.
#success #alibaba #jackma #opportunity #richness #wealth #prosperity ...
WEKA MIPAKA. Usiruhusu watu wakuharibie maisha yako. Wawekee mipaka. Waambie "nakupenda Ila siwezi kukuruhusu uniharibie ndoto na maisha yangu". Usikubali kila kitu.
#ichurchmaarifa #wordsofwisdom #joelosteen #setboundaries #boundaries #success #life #prosperity
Mungu wetu anasubiria umuombe msaada ili akusaidie. Muombe sasa, bado hujachelewa. Peke yako hutaweza. Unahitaji akusaidie hapo ULIPOKWAMA. Muite sasa... #ichurchmaarifa #prayers #askgod #god #jesuschrist #help #lifedifficulties #toughmoments
Dr Chris mauki @chrismaukiphd akielezea namna wazazi wa kiume wanaweza kutengeneza bond na watoto wao. Jifunze, enjoy, WA'TAG wababa wrote na wababa watarajiwa wajifunze.
#ichurchmaarifa #psychology #maleparents #parenting #fathers #kids #dadsandkids #drchrismauki
MUWEKE MUNGU NAFASI YA KWANZA. Kabla hujafanya chochote, anza na MUNGU. siku njema.
#ichurchmaarifa #wordofwisdom #god #godfirst #life #prayer #christianity #jesuschrist

Load More

Source: abc news - Ichurchmaarifa
Images from: http://www.wolfhallbroadway.com/trends/ichurchmaarifa