Ichurchblog

Instagram, YouTube, Twitter, Facebook photos and videos.

#repost @ichurch_magazine with @repostapp
ใƒปใƒปใƒป
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...

TAFRIJA YA UZINDUZI WA HOTELI YA MAJOR 1. ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
-
-

#ichurchblog
#ichurchcelebrities #ichurchhabari #ichurchburudani #shepherdbushiri #major1 #sbhotelslaunch -
-
NEN MOJA KWAKE ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
#repost @ichurch_magazine ใƒปใƒปใƒป
NORTH CAROLINA, MAREKANI: ..
Muhubiri wa Kimataifa, Mchungaji Billy Graham(99) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake
..
Mchungaji huyo amefikwa na mauti baada ya kuugua magonjwa kadhaa ikiwemo Saratani ya tezi dume na Kiharusi
..
Graham amewafikia watu ...
NORTH CAROLINA, MAREKANI: ..
Muhubiri wa Kimataifa, Mchungaji Billy Graham(99) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake
..
Mchungaji huyo amefikwa na mauti baada ya kuugua magonjwa kadhaa ikiwemo Saratani ya tezi dume na Kiharusi
..
Graham amewafikia watu wengi na injili ...
RORYA, MARA: Jeshi la Polisi linawashikilia waganga wa jadi wawili kwa tuhuma za kumuunguza kwa moto Emiliana Thomas mwenye tatizo la kutopata ujauzito
-
Waganga hao walimwambia Emiliana kuwa ili apate mtoto ni mpaka kuku amwagiwe mafuta ya taa na ...
Yakiwa yamepita masaa kadhaa, Nabii Shepherd Bushiri maarufu kama "MAJOR 1" ameweka wazi/bayana kuhusu ni lini atazindua moja kati ya miradi ambayo anajisikia fahari kuitimiza.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook, nabii huyo na kiongozi wa kanisa la ECG, ...
MUENDELEZO...
"....... Lakini nyuma ya mafuta ya upako, niliweza kuona pesa. "Nilichagua mafuta ya upako na nikarudi Malawi kwa kimya. "Miaka baadaye, baba yangu wa kiroho, Nabii Angel, alinikumbusha kuhusu tukio hili kwa sababu ya jinsi Mungu amebariki huduma yangu. ...
#repost @mwananchi_official ใƒปใƒปใƒป
NISAMEHENI
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki, Dk Lucas Mbedule akiwa amelala katika mlango wa kanisa kuu la KKKT Mtwara (Jumapili) kabla ya kuomba msamaha kwa waumini wa kanisa hilo ...
NAIROBI
Shule ya sekondari ya JAMUHURI nchini Kenya imetajwa kuwa na sintofahamu kwa wakristo baada ya mwanafunzi mmoja kushambuliwa kwa kisu baada ya kukataa kubadili dini kuwa Muislamu.

Ilielezwa kuwa wakati wa usiku, mwanafunzi huyo wa kiislamu alikuwa akiuchambua uislamu ...
NEW YORK

Kundi la watu wasioamini Mungu wanaotambulika kama ATHEIST, wamekitaka chuo kimoja nchini marekani kuondoa misalaba iliyopo katika majengo yake.

Ilielezwa kuwa chuo cha New Mexico kilikuwa na misalaba kadhaa ikionesha uwepo wa Imani ya Kikristo lakini kundi hilo ...
Its 22:40 now, Doing my things.
I dont feel like eating (i have not eaten) and i have this designing mood that i never had before. I am working on it. Designing new magazine issue of @ichurch_magazine @ichurch_magazine
#graphicdesigning #adobeindesign ...
Mtumishi wa MUNGU ambaye alipata kuwekwa kwenye list ya watumishi wa Mungu waliotikisa Ulimwengu kwa kuhubiri na kudhihirisha uwepo na nguvu za Mungu, C.S Upthegrove amefariki dunia.

C.S Upthegrove amefariki mnamo jumapili ya tarehe 28 januari 2018 akiwa nyumbani mwake ...
Jumapili ya tarehe 28/01/2018 ilikuwa ni jumapili ya tofauti sana na ya kukumbukwa kwa mchungaji Peter Mitimingi @petermitimingi @petermitimingi pamoja na waumini/wafuasi wake baada ya kufanya uzinduzi wa kanisa lao la WAREHOUSE CHRISTIAN CENTER (WHC) mitaa ya mwenge karibu na ...
Habari hizi, kama hizi na zingine nyingi unaweza kuzipata kwa Kubonyeza LINK KWENYE BIO au kuFOLLOW @ichurch_magazine @ichurch_magazine @ichurch_magazine @ichurch_magazine @ichurch_magazine @ichurch_magazine @ichurch_magazine
#ichurchmagazine #ichurchblog #ichurchhabari #ichurchburudani
Muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini Marekani mwanamama CECE WINANS pamoja na kundi linalofanya Gospel Rock, na pop la HILLSONG WORSHIP ni moja kati ya wasanii wengi ambao wamefanikiwa kung'aa katika utoaji wa Tuzo kubwa Nchini Marekani zijulikanazo kama ...
Mchungaji wa kanisa moja nchini India amekutwa amekufa baada ya wiki moja kupita akilalamika kuwindwa na wahindi wenye itikadi kali.
Waumini wa kanisa la MAKNAYEEN alilokuwa akiliongoza mchungaji Gideon Periyaswamy walisema waliukuta mwili wa kiongozi wao ukiwa umeningโ€™inizwa na Kamba ...
DAMASCUS:

Kanisa nchini Syria limeelezwa kuomba msaada wa kimwili na kiroho baada ya kudaiwa kukithiri kwa mashambulio yanayowalenga kutoka kwa majeshi ya Uturuki.
Inadaiwa kuwa, majeshi hayo ya Uturuki yamekuwa yakishambulia maeneo ya makanisa katika eneo la Wakurdi nchini Syria ...
AFRIKA KUSINI:

Kanisa la Gabola linaloongozwa na Tsietsi Makiti lawa gumzo kutokana
na imani yake kuegemea katika kuhamasisha unywaji wa Pombe.

Kanisa hilo lililoanzishwa miezi 2 iliyopita limeshapata waumini 500
na linawabatiza waumini wapya kwa kutumia pombe ambayo mtu
anayebatizwa ...
Siku ya Leo, Nabii Shepherd Bushiri " MAJOR 1" ameamua kutueleza stori yake ya mahusiano kidogo huku akigusia namna ambavyo ilibakia kidogo sana aoe mwanamke ambaye hakuwa chaguo la Mungu kwake.

Haya ameyaandika kupitia ukurasa wake wa instagram wakati akimshukuru ...
"Nabii Tito" amejichana na wembe tumboni na ameshonwa nyuzi 25 tumboni.

Inaelezwa kwamba Nabii Tito alienda na Polisi nyumbani kwake kwa ajili ya uchunguzi wa kesi inayomkabili, alipofika nyumbani alikimbilia kiwembe na kujichana tumboni. (Chanzo/Gazeti laย #mtanzania)
.
Nini mtazamo wako ...

Load More

Source: abc news - Ichurchblog
Images from: http://www.wolfhallbroadway.com/trends/ichurchblog