Ichurchhabari

Instagram, YouTube, Twitter, Facebook photos and videos.

Baada ya Mchungaji Fred Njama kukamatwa na Polisi kwa kutaja changamoto 6 zinazolikabili taifa akidaiwa kufanya uchochezi, Baba Askofu Dr.Stephen Munga (PhD), mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, amemuandikia Mchungaji Njama waraka wa faraja.
________________________

Kwako Mchungaji Fred Njama,
...
😂😂Hivi mlishawahi kusikia hi I habari ya huyu mwanasheria aliyefungua kesi dhidi ya nchi za Israel na Italy kwa kosa LA kumtesa Yesu?
Ni mkenya. Anaitwa Dola Indidis na kesi hiyo ameifungulia mahakama ya kimataifa ya THE HAGUE, Uholanzi.
Anasema ...
Mtandao wa #churchtoday unaripoti kwamba katika mji wa Butare nchini Rwanda watu wapatao 25 wa familia 3 tofauti wamekamatwa kwa madai ya kufanya ibada zilizopigwa marufuku nchini humo.
Polisi wameeleza kuwa watu hao ni miongoni mwa waumini wa makanisa yaliyofutiwa ...
#repost @injilileoblog ・・・
#gyd18
Siku ya jana Ijumaa Idara ya vijana kanisa la Ushindi wametoa msaa Wa chakula pamoja na pump ya maji katika kituo maalum cha kusaidia watoto wenye utindio Wa ubungo katika shule ya Sinza maalum. Wakiongoza na ...
MOSHI, KILIMANJARO: Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuwa ni “Uchochezi wa kisiasa”.
-
Mchungaji huyo wiki mbili zilizopita alisoma ripoti katika mkutano mkuu wa mwaka wa usharika wake ambayo ...
PAKUA APP YA DONDOSHA(Play store au app store), then jisajili, then nunua ichurch magazine kwa NUSU BEI (TSH 2500) kupitia simu yako. Matoleo yetu yote yapo huko. Enjoy. KARIBUNI SANA.
#ichurchcelebrities #ichurchmagazine #dondosha #ichurch #ichurchhabari #ichurchmaarifa #magazine #buyonline #graphicdesigning #christianmovies ...
Baadhi ya picha za matukio ya ibada ya kumuaga Mchungaji Tuheri Aron Tuheri KKKT Magogoni na Ibada ya mazishi iliyofanyika jana Maneromango, Kisarawe Pwani.

#ichurchhabari #ichurchnews #tanzia #kkkt #death #rip #pastorsdeath #tanzania
Kitu gani umekifurahia zaidi kwenye TOLEO HILI JIPYA? Tuambie
Kama bado hujalipitia, BONYEZA LINK KWENYE BIO.

#ichurchcelebrities #ichurchhabari #ichurchmagazine #ichurchmaarifa #ichurchfashion #chtistianmovies #gospelmusic #paulclement #angelbernard #churches #news
RWANDA:
Watu 16 wamefariki na 140 wamekimbizwa Hospitali baada ya kujeruhiwa na radi iliyopiga ndani ya Kanisa la KiAdiventista

Aidha, siku ya Ijumaa radi ilimpiga na kumuua Mwanafunzi mmoja na kuwajeruhi wengine watatu

#ichurchhabari #rwandachurches #rwanda #lightning #death #churches #tragedies
#repost @ichurch_magazine with @repostapp
・・・
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...

TANZIA:
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa, anatangaza kifo cha Mchungaji wa Usharika wa Magogoni KKKT Mch.TUHERI AARON TUHERI, kilichotokea usiku wa tarehe 08/03/2018 kwa ajali ya Gari, jijini Dar es Salaam.
-
-
Mipango ya ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Baada ya kufungia makanisa 700 wiki iliyopita kwa kile kilichotajwa kukosa miundo mbinu ya msingi na kusababisha kelele nyingi, Polisi nchini Rwanda sasa imewakamata wachungaji 6 na viongozi wengine wa makanisa yaliyofungwa wakiwatuhumu kufanya ibada kwa siri.
#ichurchhabari
#ichurchnews
#rwanda ...
PONGEZI: Video za Youtube Channel ya Emmanuel TV sasa zimeangaliwa zaidi ya mara 300,000,000 (million 300)
Pamoja na mafanikio hayo, Nabii TB Joshua kasema “Better is not good enough; the best is always yet to come!” akimaanisha mazuri zaidi kushinda ...
PICHA: MAZISHI YA mwinjilisti wa Kimataifa BILLY GRAHAM. Raisi wa Taifa la Marekani Bwana Donald Trump pamoja na mke wake Mellania Trump, na makamu wa raisi Mike Pence pia walihudhuria mazishi hayo.

#ichurchhabari #ichurchnews #billygraham #farewell #gospel #trump #melaniatrump #mikepence ...
Major Congratulations to @rebecagyumi kwa kutambuliwa Kama mmoja wa wapigania haki za binadamu wakati Azimio la haki za binadamu likitimiza miaka 20.
Kazi yako no njema Sana na inaleta mabadiliko na maendeleo kwa hakika. Mungu azidi kukupa ujasiri zaidi na ...
Hongera Sana dada @farajanyalandu kwa kuchaguliwa na kutajwa na taasisi ya Lioness of Africa Kama mmoja wa wanawake wanaoleta mabadiliko katika TEHAMA na ujasiriamali Afrika. Hongera Sana.👏👏👏👏😊 Wewe ni hamasa kwa wengi Tanzania na Afrika kwa ujumla. Ubunifu wako, Uchapakazi ...
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA MWINGIRA:

Mchungaji wa Kanisa la Efatha Josephat Mwingira alikuwa anakabiliwa na kesi ya madai ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu pamoja na kuzaa na mwanamke huyo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Rwanda imetangaza kufuta usajili wa zaidi ya makanisa 250 kwa kutokukidhi vigezo.
Moja ya vigezo vinavyotakiwa ni viongozi wa juu wa makanisa kuwa na elimu ya Theolojia.

#ichurchhabari #churches #rwanda #ichurchnews #christianity
DR CONGO:
Mahakama Kuu imemhukumu kifungo cha maisha Polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila

Polisi huyo ambaye aliwapiga risasi za moto waandamanaji wawili na kuwaua papo hapo siku ya Jumapili Februari 25, 2018 aliibua hisia ...
Mtu mmoja ameuliwa na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya na polisi waliokuwa wanawafyatulia Risasi ili kutawanya maandamano yaliyoongozwa na kanisa katoliki Nchini Kongo ili kushinikiza Raisi Joseph Kabila ajiuzulu/aachie madaraka.
SOURCE: ALJAZEERA
#ichurchhabari #congo #josephkabila #congodrc #catholic #power #abuseofpower #democracy #gunshoot ...

Load More

Source: abc news - Ichurchhabari
Images from: http://www.wolfhallbroadway.com/trends/ichurchhabari