Ichurchnews

Instagram, YouTube, Twitter, Facebook photos and videos.

Mtandao wa #churchtoday unaripoti kwamba katika mji wa Butare nchini Rwanda watu wapatao 25 wa familia 3 tofauti wamekamatwa kwa madai ya kufanya ibada zilizopigwa marufuku nchini humo.
Polisi wameeleza kuwa watu hao ni miongoni mwa waumini wa makanisa yaliyofutiwa ...
MOSHI, KILIMANJARO: Mchungaji Fredy Njama wa Usharika wa Karanga, KKKT Dayosisi ya Kaskazini, amekamatwa na Polisi kwa kinachoidaiwa kuwa ni “Uchochezi wa kisiasa”.
-
Mchungaji huyo wiki mbili zilizopita alisoma ripoti katika mkutano mkuu wa mwaka wa usharika wake ambayo ...
Baadhi ya picha za matukio ya ibada ya kumuaga Mchungaji Tuheri Aron Tuheri KKKT Magogoni na Ibada ya mazishi iliyofanyika jana Maneromango, Kisarawe Pwani.

#ichurchhabari #ichurchnews #tanzia #kkkt #death #rip #pastorsdeath #tanzania
#repost @ichurch_magazine with @repostapp
・・・
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...

TANZIA:
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa, anatangaza kifo cha Mchungaji wa Usharika wa Magogoni KKKT Mch.TUHERI AARON TUHERI, kilichotokea usiku wa tarehe 08/03/2018 kwa ajali ya Gari, jijini Dar es Salaam.
-
-
Mipango ya ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Sasa unaweza kununua na kusoma matoleo yote ya jarida letu La iCHURCH kupitia application ya Dondosha kwa TSH 5,000 tu. -
-
Cha kufanya:
1. Ingia Google play store au App store na upakue app ya DONDOSHA.
-
2. Jisajili ...
Baada ya kufungia makanisa 700 wiki iliyopita kwa kile kilichotajwa kukosa miundo mbinu ya msingi na kusababisha kelele nyingi, Polisi nchini Rwanda sasa imewakamata wachungaji 6 na viongozi wengine wa makanisa yaliyofungwa wakiwatuhumu kufanya ibada kwa siri.
#ichurchhabari
#ichurchnews
#rwanda ...
PONGEZI: Video za Youtube Channel ya Emmanuel TV sasa zimeangaliwa zaidi ya mara 300,000,000 (million 300)
Pamoja na mafanikio hayo, Nabii TB Joshua kasema “Better is not good enough; the best is always yet to come!” akimaanisha mazuri zaidi kushinda ...
PICHA: MAZISHI YA mwinjilisti wa Kimataifa BILLY GRAHAM. Raisi wa Taifa la Marekani Bwana Donald Trump pamoja na mke wake Mellania Trump, na makamu wa raisi Mike Pence pia walihudhuria mazishi hayo.

#ichurchhabari #ichurchnews #billygraham #farewell #gospel #trump #melaniatrump #mikepence ...
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA MWINGIRA:

Mchungaji wa Kanisa la Efatha Josephat Mwingira alikuwa anakabiliwa na kesi ya madai ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu pamoja na kuzaa na mwanamke huyo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Rwanda imetangaza kufuta usajili wa zaidi ya makanisa 250 kwa kutokukidhi vigezo.
Moja ya vigezo vinavyotakiwa ni viongozi wa juu wa makanisa kuwa na elimu ya Theolojia.

#ichurchhabari #churches #rwanda #ichurchnews #christianity
DAR: Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship(FGBF), Zachary Kakobe akana Kanisa lake kukwepa kodi adai tuhuma hizo ni za kisiasa
-
Siku 5 zilizopita Kamishna Mkuu wa TRA aliwaambia Wanahabari kuwa baada ya uchunguzi wamebaini kuwa Askofu Zachary ...
Get Hired! Created using PowToon -- Free sign up at http://www.powtoon.com/ . Make your own animated videos and animated presentations for free. PowToon is a free tool that allows you to develop...
SPANISH ICHURCH PICNIC 5JULY Copy of None-- Created using PowToon -- Free sign up at http://www.powtoon.com/ . Make your own animated videos and animated presentations for free. PowToon is a free tool that allows you...
IChurch News goes International in less than 12 months! IChurch News (www.IChurchNews.com) is the fastest growing Faith Based Online network. Crossing into International Territory in less than 12 months is their greatest milestone. Watch their latest...

Load More

Source: abc news - Ichurchnews
Images from: http://www.wolfhallbroadway.com/trends/ichurchnews